Like this study set? Create a free account to save it.

Sign up for an account

Already have a Quizlet account? .

Create an account

-mesha tense, object markers, -pi this/these

I see that you have already bought your book.

ninaona kwamba umeshakinunua kitabu chako.

the tall buildings have already fallen.

majumba marefu yameshaanguka.

my father's mangoes are already rotten.

maembe ya baba yangu yameshaoza.

my mother has already cooked my food for me.

mama yangu ameshanipikia chakula changu.

Who ate my mangoes? Your father ate them.

Nani alikula maembe yangu? Baba yako aliyala.

I saw the train.

Nililiona gari la moshi.

I like your shoes.

Ninavipenda viatu vyako.

Ali's father is still eating my pineapple.

Baba Ali analila nanasi langu bado.

Where will you go at the end of the week?

Utakwenda wapi mwisho wa juma?

Which book do you want, his or mine?

Unataka kitabu kipi, chake au changu?

I usually read this book.

Mimi hukisoma kitabu hiki.

People usually eat potatoes here.

Watu hula viazi hapa.

At what time do you usually come here?

Wewe huja hapa saa ngapi?

This tree is very tall.

Mti huu ni mrefu sana.

These oranges come from the coast.

Machungwa haya yanatoka pwani.

Which man do you like?

Unapenda mwanamume yupi?

What do you usually do in the evening after arriving home?

Wewe hufanya nini jioni baada ya kufika nyumbani?

Which kind of banana did your friends buy?

Rafiki zako walinunua aina ipi ya ndizi?

Which word did the teacher point at?

Mwalimu alionyesha kidole neno lipi?

Which mango from my tall tree did my mother give you to eat?

Mama yangu alikupa embe lipi la mti wangu mrefu kwa kula?

This classroom is sufficient.

Darasa hili linatosha.

Which onion do you want? This one.

Unataka Kitunguu kipi? Hiki.

This man has already gone to the market.

Mwanamume huyu ameshakwenda sokoni.

Which books have you already read? This one and also yours.

Umeshasoma vitabu vipi? Hiki na chako pia.

Please allow access to your computer’s microphone to use Voice Recording.

Having trouble? Click here for help.

We can’t access your microphone!

Click the icon above to update your browser permissions and try again

Example:

Reload the page to try again!

Reload

Press Cmd-0 to reset your zoom

Press Ctrl-0 to reset your zoom

It looks like your browser might be zoomed in or out. Your browser needs to be zoomed to a normal size to record audio.

Please upgrade Flash or install Chrome
to use Voice Recording.

For more help, see our troubleshooting page.

Your microphone is muted

For help fixing this issue, see this FAQ.

Star this term

You can study starred terms together

Voice Recording