44 terms

Flood Africa Swahili 101

STUDY
PLAY
karibu
welcome
asante
thanks
habari
news
yako
yours
bwana
sir
nzuri
good
karibuni
welcome (many)
Hamjambo?
How are you? (many)
hatujambo
we are fine
na
and
wewe
you
hujambo?
how are you? (one)
mimi
I
sijambo
I am fine
zenu
your (pl)
Asante. Habari yako bwana?
Thanks. How are things with you sir?
Na wewe, hujambo bwana?
and you, how are you sir?
mimi sijambo. Habari zenu?
I am fine. How are things with you (many)?
safi
great (couldn't be better)
kazi
work
mzee
elder
jina
name
safari
journey
leo
today
hapa
here
soma
read, study
ndiyo
yes
kwaherini
goodbye (many)
kwaheri
goodbye (one)
shikamoo
My respects (greeting of higher rank)
Marahaba
Welcome (response to Shikamoo)
Habari za kazi?
How is work?
Jina lako nani?
What's your name?
Jina langu TJ
My name is TJ
Habari za safari?
How is the journey?
Na wewe jina lako nani?
And you, what is your name?
Habari za leo?
How are you today?
salama
peaceful
Mnafanya kazi hapa?
Are you working here?
Tunahitaji
We need
teksi
Taxi
Tunakwenda
We're going
hotelini
hotel
Tunahitaji teksi. Tunakwenda hotelini
We need a taxi. We're going to the hotel